STREET SWAGG EVOLUTION: UBORESHAJI WA UENDESHAJI WA BLOG , YA UCHAPISHAJI WA MAKALA .

        Kutokana na maoni yaliyotolewa ya kuboresha uchapishaji wa makala zetu, mabadiliko hayo yatakua kama ifuatavyo: Tutatoa makala mchanganyiko katika nyanja tofautitofauti ikiwemo Afya, Fashion, Teknohama, Habari muhimu, Tips (dondoo) za Fashion, Vitabu na magazine, Entertainment, n.K
          Mabadiliko haya yatagusa uchapishaji wa makala ya kila mwenzi kwa mfululizo tutakua tukichapisha mada zaidi ya 15 kwa mwezi. Tutaboresha GRAPHICS na staili ya uchapishaji wa makala zetu.
        Tutakua tukitoa machapisho hayo kila tarehe 12 hadi 14 ya kila mwezi kwa mfululizo, mabadiliko hayo yataanza tarehe 12 februari mwaka huu.

          TUNAKUSHUKURU KWA KUCHAGUA BLOG YETU ( Street Swagg ).

0 comments: