NYANYUKA ZAIDI YA UNAVYO DONDOKA

          **WISE QOUTE**

Nyanyuka mara nyingi zaidi ya unavyo dondoka.

Ulishawahi kushindwa au kukosea katika maisha yako? Kama ndio hii ni kwa ajili yako.
ZABURI 37: 23 - 24,
'Hatua za mtu zaimarishwa na Bwana, nayeaipenda njia yako.
Anapojikwa hataanguka chini, Bwana humshika mkono na kutegemeza.'
Moja katika vitu hatarishi sana maishani ni kuchukua tahadhari nyingi na kutokuwa na makosa au kushindwa. Kushindwa ni fursa ya kuanza tena upya vizuri zaidi.
VERNON SANDERS observes, '       Experience is a hard teacher because she gives the test first, the leson afterward'.
Failure it can become a weight or it can gives you wings. Watu waliofanikiwa huamini kushindwa sio hitimisho ni matokeo tu.
'If you never failed, you never lived' said Ahmed Likindo.
Watu wenye busara husema, hatuangali tulipo angukia pindi tujikwaapo. Ila pale tulipojikwa na kuchukua tahadhari mara nyingine; Kunyanyuka ndicho kitu cha kwanza kabisa.
     Michael Jordan; aliwahi sema ' Sijawahi kuhesabu kua ni mara ngapi niliwahishindwa'.
Kalamu yangu inadondoka baada ya kumuangazia Ahmed Likindo aliposema ' Fear will take you no where but to itself'.

0 comments: