SHAHILI FASHION WEEK 2012.

The SWAHILI FASHION WEEK launch in DAR ES SALAAM this week at 6th to 8th of December this yeah don't miss it! Usisahau kupiga kura kwaajili ya awards za SWAHILI FASHION WEEK 2012 AWARDS, mimi nimeshawapia mara nyingi zaidi, nimewapigia kama Martini Kadinda, Nancy Sumari, Nirvana - EATV, na wengine kibao hebu fanya hivyo kupitia link hii.http://www.sfw2012awards.blogspot.com/

1 comment:

  1. nashukuru mashindano yameisha salama na nawapongeza walioshinda na ambao walishindwa awanabudi kujipanga kwa mwaka unaokuja. Big Up! walifanya vizuri kama Nancy ambaye ameshind tuzo na ameonekana kupongezwa na kujizolea sifa kemkem toka kwa watazamaji na presenters wa Tv na Radio, pia Martin Kadinda na Tv's program ya EATV ( NIVANA ) zaidi kwenu wadau wa fashion nje na ndani ya Tz.

    ReplyDelete