ALBERT MANGWEA AFARIKI DUNIA AFRICA KUSINI LEO

R.I.P MANGWEA
KWA TAARIFA ZA HARAKA ZILIZO TANGAZWA NA CLOUDS RADIO HIVI PUNDE, NI KWAMBA MSANI WA BONGO FLEVA ALBERT MANGWEA A.K.A MANGWEA. member wa Chemba square na mkali wa freestyle; ( alietesa na nyimbo kama ghetto langu, mikasi, nipeni dili, na nyingine kibao) AMEFARIKI DUNIA NCHINI SOUTH AFRICA katika hospitality ya St. Helen, Johannesburg. Alienda huko Afrika Kusini kwaajili ya show akiwa na msani mwenzake M2THE P ambaye naye amelazwa hospitalini hapo na hali yake ni mbaya sana , show hizo   zilifanyika huko na alitarajia kurudi leo Tanzania. Kifo kimethibitishwa na zaidi ya watu  wanne akiwemo mwenyeji wake aliyempokea na Kinye ambaye naye yupo huko Afrika kusini.  Chanzo change ugonjwa haujafahamika mpaka sasa. Nakwakuonesha heshima na umuhimu wa msanii huyo show zilotarajiwa kufanyika ikiwemo ileiliyo andaliwa na Mwana FA, na pia ya Kikosi cha Mizinga zillizotarajiwa kufanyika wiki hii zitafanyika wiki ijayo. R.I.P.
     
Wednesday, evening .
new update ...

0 comments: