To smell fresh all day is desireable thing that all adults may need, not only them but all who need to look smart and modern.
Ok! Nimepata kuulizwa ' perfume/unyunyu gani ninaotumia?' sikuwahi kujibu! Kwani hicho ni miongoni mwa vitu vinavyo nitofautisha na wengine. Nimedodosa kidogo hebu tugeukie kwenye mada usika. Ulishawahi kuuliza ni jinsi gani utanukia vizuri? Jambo la kutunia pafyumu ni la ziada tu, ya msingi ni haya yafuatayo.
Fuatilia dondoo fupi na kuzipa uhai kwa utekelezaji, utaweza kuachieve matokeo bomba.
DONDOO
~ Oga vizuri atleast mara mbili kwa siku.
~ Piga mswaki twice a day.
~ Nyoa baadhi nyele zilizogandana na jasho ( pubic hairs ) Mf. Nyele za makwapani, n.k
~ Osha nyele zako vizuri no matter the style.
~ Wear clean clothes ni vizuri kuzipasi.
~ Na mwisho osha shoes zako inapoitajika, usafi wa soksi ni kitu muhimu.
Tunapaswa kujua kuwa kila mtu ana smell yake ila inapozidi kwa ukali uhudhi endapo utafanya all bila results chanya, basi muone dokta. Kwani wakati mwingine husabiswa na bactearia.
KAA MKAO WA KULA NA MAKALA BOMBA NYINGINE.
DO YOU LIKE TO SMELL FRESH AND COOL EVERY DAY?
About author: Admin
Cress arugula peanut tigernut wattle seed kombu parsnip. Lotus root mung bean arugula tigernut horseradish endive yarrow gourd. Radicchio cress avocado garlic quandong collard greens.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: