STREET SWAGG EVOLUTION: UBORESHAJI WA UENDESHAJI WA BLOG , YA UCHAPISHAJI WA MAKALA .

        Kutokana na maoni yaliyotolewa ya kuboresha uchapishaji wa makala zetu, mabadiliko hayo yatakua kama ifuatavyo: Tutatoa makala mchanganyiko katika nyanja tofautitofauti ikiwemo Afya, Fashion, Teknohama, Habari muhimu, Tips (dondoo) za Fashion, Vitabu na magazine, Entertainment, n.K
          Mabadiliko haya yatagusa uchapishaji wa makala ya kila mwenzi kwa mfululizo tutakua tukichapisha mada zaidi ya 15 kwa mwezi. Tutaboresha GRAPHICS na staili ya uchapishaji wa makala zetu.
        Tutakua tukitoa machapisho hayo kila tarehe 12 hadi 14 ya kila mwezi kwa mfululizo, mabadiliko hayo yataanza tarehe 12 februari mwaka huu.

          TUNAKUSHUKURU KWA KUCHAGUA BLOG YETU ( Street Swagg ).

0 comments:

MAJINA YA KINYANG'ANYIRO CHA TUZO ZA OSCAR SASA HADHARANI

Tuzo za OSCAR 2013 zapamba moto hii ni baada ya kutangazwa kwa majina yatakayo wania tuzo hizo, ambazo ni tuzo za 85 zinazotarajia kufikia kilele Februari 24, taarifa iliyo tolewa mapema wiki hii baada ya jopo la  ' Academy of Motion Picture Art and Science ' kukutana na kutoa majina ambayo yatawania tuzo hizo. Filamu ya Lincoln imeongoza kwa kupata nafasi nyingi zaidi ambazo ni nafasi 12 ikifuatiwa na The Life Of Pi yenye nafasi 11, licha yakupata nafasi hizo bado kuna kibarua kigumu kuweza kupiku nyingine.BAADHI YA NOMINATION NI KAMA IFUATAVYO:

Best PictureUK
Amour
Argo
Beasts of the Southern Wild
Django Unchained
Les Miserables
Life of Pi
Lincoln
Silver Linings Playbook
Zero Dark Thirty
Best Actor
Bradley Cooper, Silver Linings
Playbook
Daniel Day-Lewis, Lincoln
Hugh Jackman, Les Miserables
Joaquin Phoenix, The Master
Denzel Washington, Flight
Best Actress
Jessica Chastain, Zero Dark Thirty
Jennifer Lawrence, Silver Linings
Playbook
Emmanuelle Riva, Amour
Quvenzhane Wallis, Beasts of the
Southern Wild
Naomi Watts, The Impossible
Best Supporting Actor
Alan Arkin, Argo
Robert De Niro, Silver Linings
Playbook
Philip Seymour Hoffman, The
Master
Tommy Lee Jones, Lincoln
Christoph Waltz, Django
Unchained
Best Supporting Actress
Amy Adams, The Master
Sally Field, Lincoln
Anne Hathaway, Les Miserables
Helen Hunt, The Sessions
Jacki Weaver, Silver Linings
Playbook
Best Director
Michael Haneke, Amour
Ang Lee, Life of Pi
David O. Russell, Silver Linings
Playbook
Steven Spielberg, Lincoln
Benh Zeitlin, Beasts of the
Southern Wild
Best Original Screenplay
Amour, Michael Haneke
Django Unchained, Quentin
Tarantino
Flight , John Gatins
Moonrise Kingdom , Wes Anderson
and Roman Coppola
Zero Dark Thirty , Mark Boal
Best Adapted Screenplay
Argo , Chris Terrio
Beasts of the Southern Wild ,
Lucy Alibar and Benh Zeitlin,
Life of Pi, David Magee
Lincoln , Tony Kushner
Silver Linings Playbook, David O.
Russell
Best Animated Feature:
Brave
Frankenweenie
ParaNorman
The Pirates! Band of Misfits
Wreck-It Ralph
Best Cinematography
Anna Karenina, Seamus McGarvey
Django Unchained, Robert
Richardson
Life of Pi, Claudio Miranda
Lincoln , Janusz Kaminski
Skyfall, Roger Deakins
Best Costume Design
Anna Karenina, Jacqueline Durran
Les Misérables, Paco Delgado
Lincoln , Joanna Johnston
Mirror Mirror , Eiko Ishioka
Snow White and the Huntsman ,
Colleen Atwood
Best Documentary Feature
5 Broken Cameras
The Gatekeepers
How to Survive a Plague
The Invisible War
Searching for Sugar Man
Best Documentary Short
Inocente
Kings Point
Mondays at Racine
Open Heart
Redemption
Best Film Editing
Argo , William Goldenberg
Life of Pi, Tim Squyres
Lincoln , Michael Kahn
Silver Linings Playbook, Jay
Cassidy and Crispin Struthers
Zero Dark Thirty , Dylan Tichenor
and William Goldenberg
Best Foreign Language Film
Amour, Austria
Kon-Tiki , Norway
No , Chile
A Royal Affair , Denmark
War Witch , Canada
Best Makeup and Hairstyling
Hitchcock, Howard Berger, Peter
Montagna and Martin Samuel
The Hobbit: An Unexpected
Journey , Peter Swords King, Rick
Findlater and Tami Lane
Les Misérables, Lisa Westcott and
Julie Dartnell
Best Original Score
Anna Karenina, Dario Marianelli
Argo , Alexandre Desplat
Life of Pi, Mychael Danna
Lincoln , John Williams
Skyfall, Thomas Newman
Best Original Song
“Before My Time” from Chasing
Ice, music and lyric by J. Ralph
“Everybody Needs A Best Friend”
from Ted , music by Walter
Murphy; lyric by Seth MacFarlane
“Pi’s Lullaby” from Life of Pi,
music by Mychael Danna; lyric by
Bombay Jayashri
“Skyfall” from Skyfall, music and
lyric by Adele Adkins and Paul
Epworth
“Suddenly” from Les Misérables,
music by Claude-Michel
Schönberg; lyric by Herbert
Kretzmer and Alain Boublil
Best Production Design
Anna Karenina, Production
Design: Sarah Greenwood; Set
Decoration: Katie Spencer
The Hobbit: An Unexpected
Journey , production Design: Dan
Hennah; Set Decoration: Ra Vincent
and Simon Bright
Les Misérables, Production
Design: Eve Stewart; Set
Decoration: Anna Lynch-Robinson
Life of Pi, Production Design:
David Gropman; Set Decoration:
Anna Pinnock
Lincoln , Production Design: Rick
Carter; Set Decoration: Jim
Erickson
Best Animated Short
Adam and Dog
Fresh Guacamole
Head over Heels
Maggie Simpson in “The Longest
Daycare”
Paperman
Best Live Action Short
Asad
Buzkashi Boys
Curfew
Death of a Shadow
Henry
Best Sound Editing
Argo , Erik Aadahl and Ethan Van
der Ryn
Django Unchained, Wylie
Stateman
Life of Pi, Eugene Gearty and Philip
Stockton
Skyfall, Per Hallberg and Karen
Baker Landers
Zero Dark Thirty , Paul N.J.
Ottosson
Best Sound Mixing
Argo , John Reitz, Gregg Rudloff
and Jose Antonio Garcia
Les Misérables, Andy Nelson,
Mark Paterson and Simon Hayes
Life of Pi, Ron Bartlett, D.M.
Hemphill and Drew Kunin
Lincoln , Andy Nelson, Gary
Rydstrom and Ronald Judkins
Skyfall, Scott Millan, Greg P.
Russell and Stuart Wilson
Best Visual Effects
The Hobbit: An Unexpected
Journey, Joe Letteri, Eric Saindon,
David Clayton and R. Christopher
White
Life of Pi, Bill Westenhofer,
Guillaume Rocheron, Erik-Jan De
Boer and Donald R. Elliott
The Avengers , Janek Sirrs, Jeff
White, Guy Williams and Dan
Sudick
Prometheus , Richard Stammers,
Trevor Wood, Charley Henley and
Martin Hill
Snow White and the Huntsman ,
Cedric Nicolas-Troyan, Philip
Brennan, Neil Corbould and
Michael Dawson
Je, ninani atanyakua kinyanganyiro hiki? hili swali ngoja niwaachie nyinyi. unaweza kukomenti kupitia Twitter, Facebook , E-mail au ukakomenti moja kwa moja kwenye blog hii.  MSISAHAU KUSHEA NA MARAFI ZENU KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII.


0 comments:

JINSI YA KUCHAGUA UNYUNYU / PERFUME NA KANUNI ZAKE HIZI HAPA



           Habari za mwaka mpya wapenzi wa blog hii, hakika tumeanza vyema leo ninajambo la kuwaeleza, nimepata email juu ya jambo hili. Nimekusa yamsingi yakuwaeleza ninacho hitaji ni utulivuwenu niwezekupakua nilicho waandalia. Bila kuchukua muda tugeukie mada kuu, kama tujuavyo kua perfume ni jambo linalo tiliwa mkazo katika masuala ya urembo, zipo pafyumu za aina na bei tofauti zipo za bei ya juu kama GUCCI n.k
          Zipo aina tatu za unyunyu ambazo; parfum , eau de parfum na ya mwisho ni eau de toilette. Hizi utofautiana kwenye ukali wa harufu, parfum aina hii inaharufu kali zaidi , eau de parfum ina haru saizi ya kati ikifuatiwa na eau de toilette hii inaharu pole zaidi, hivyo chaguo ni lako. Kumbuka sio ainazote zitkufaa au nikwa ajili yako. sio kila aina itakufa, hivi kunawakati ulisha tumia unjunju wa rafiki yako ukanukia vizuri au vibaya? Kama ulinukia vizuri inakufa ka ni laa basi tafuta ainayako. Unyunyu unukia tafauti kulingana na hali ya mfano joto au baridi hii hutokana na jinsi ilivyo tengenezwa. kipindi cha joto tumia NON-ALCOHOLIC SCENTS kama Jean Patou's n.k
WAKATI UNANUNUA UNJNJU (PERFUME).
          Unapofika dukani unaweza kuchagua harufu huitakayo kwa kupuliza kidogo kwenye mkono wako nakunusa, kama utaipenda basi unaweza kuondoka nakutembea kidogo kuweza kuangalia kama kunamabadiliko yeyote kama kupotea kwa harufu haraka , kukera wengine, au kuwa na harufu mbaya. Endapo haitaleta mabadiliko mabaya basi ni nzuri na inakufaa. ANGALIZO; kama harufu yake inaisha haraka basi haikufai.
JINSI YA KUPULIZA.
           Igawa watu wengi wamezoea kupiga au kuzipulizia nguo zao unyunyu wanapotaka kuziva, ili sio sahihi kabisa kwani kufanya hivyo hupelekea kuweka madoa nguo au kuziacha zikinuka vibaya licha ya kuzifua mara kadhaa. Usahihi ni kupiga kwenye ngozi yako na sii vinginevyo. Maeneo muhimu ni mikononi na kwenye shingo na karibu na kifua wala sio kwapani kama wengi walivyo zoea (kufanya hivyo kuweza kuleta harufu mbaya iliyochanganjika na jasho kali). Umuhimu wa kupulizia ngozi upelekea ngozi kuchukua 'kuadapti' harufu ya unyunyu uliojipulizia na kua kama harufu yako ukitumia kwa muda mrefu.
ANGALIZO; soma jinsi ya kutumia na kuhifadhi kwa matokeo salama na bora.
           Ntumaini mmeridhika na makala hii, ningependa kusikia toka kwenu kwa kujibu hili. Je, wewe unatumia pafyumu gani?
Unaweza kumenti mojakwamoja kwenye blog hii au kwa kupitia akauti yangu ya Twitter ambayo ni HKEENSHINE.
Nasubiri majibu yenu.
 

0 comments: