JINSI YA KUCHAGUA UNYUNYU / PERFUME NA KANUNI ZAKE HIZI HAPA           Habari za mwaka mpya wapenzi wa blog hii, hakika tumeanza vyema leo ninajambo la kuwaeleza, nimepata email juu ya jambo hili. Nimekusa yamsingi yakuwaeleza ninacho hitaji ni utulivuwenu niwezekupakua nilicho waandalia. Bila kuchukua muda tugeukie mada kuu, kama tujuavyo kua perfume ni jambo linalo tiliwa mkazo katika masuala ya urembo, zipo pafyumu za aina na bei tofauti zipo za bei ya juu kama GUCCI n.k
          Zipo aina tatu za unyunyu ambazo; parfum , eau de parfum na ya mwisho ni eau de toilette. Hizi utofautiana kwenye ukali wa harufu, parfum aina hii inaharufu kali zaidi , eau de parfum ina haru saizi ya kati ikifuatiwa na eau de toilette hii inaharu pole zaidi, hivyo chaguo ni lako. Kumbuka sio ainazote zitkufaa au nikwa ajili yako. sio kila aina itakufa, hivi kunawakati ulisha tumia unjunju wa rafiki yako ukanukia vizuri au vibaya? Kama ulinukia vizuri inakufa ka ni laa basi tafuta ainayako. Unyunyu unukia tafauti kulingana na hali ya mfano joto au baridi hii hutokana na jinsi ilivyo tengenezwa. kipindi cha joto tumia NON-ALCOHOLIC SCENTS kama Jean Patou's n.k
WAKATI UNANUNUA UNJNJU (PERFUME).
          Unapofika dukani unaweza kuchagua harufu huitakayo kwa kupuliza kidogo kwenye mkono wako nakunusa, kama utaipenda basi unaweza kuondoka nakutembea kidogo kuweza kuangalia kama kunamabadiliko yeyote kama kupotea kwa harufu haraka , kukera wengine, au kuwa na harufu mbaya. Endapo haitaleta mabadiliko mabaya basi ni nzuri na inakufaa. ANGALIZO; kama harufu yake inaisha haraka basi haikufai.
JINSI YA KUPULIZA.
           Igawa watu wengi wamezoea kupiga au kuzipulizia nguo zao unyunyu wanapotaka kuziva, ili sio sahihi kabisa kwani kufanya hivyo hupelekea kuweka madoa nguo au kuziacha zikinuka vibaya licha ya kuzifua mara kadhaa. Usahihi ni kupiga kwenye ngozi yako na sii vinginevyo. Maeneo muhimu ni mikononi na kwenye shingo na karibu na kifua wala sio kwapani kama wengi walivyo zoea (kufanya hivyo kuweza kuleta harufu mbaya iliyochanganjika na jasho kali). Umuhimu wa kupulizia ngozi upelekea ngozi kuchukua 'kuadapti' harufu ya unyunyu uliojipulizia na kua kama harufu yako ukitumia kwa muda mrefu.
ANGALIZO; soma jinsi ya kutumia na kuhifadhi kwa matokeo salama na bora.
           Ntumaini mmeridhika na makala hii, ningependa kusikia toka kwenu kwa kujibu hili. Je, wewe unatumia pafyumu gani?
Unaweza kumenti mojakwamoja kwenye blog hii au kwa kupitia akauti yangu ya Twitter ambayo ni HKEENSHINE.
Nasubiri majibu yenu.
 

0 comments: